Al-Sharh

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Hatukukunjulia kifua chako? أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ
2 Na tukakuondolea mzigo wako, وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ
3 Ulio vunja mgongo wako? الَّذِي أَنقَضَ ظَهْرَكَ
4 Na tukakunyanyulia utajo wako? وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ
5 Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi, فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
6 Hakika pamoja na uzito upo wepesi. إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
7 Na ukipata faragha, fanya juhudi. فَإِذَا فَرَغْتَ فَانصَبْ
8 Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie. وَإِلَى رَبِّكَ فَارْغَبْ
;