Al-Falaq

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ
2 Na shari ya alivyo viumba, مِن شَرِّ مَا خَلَقَ
3 Na shari ya giza la usiku liingiapo, وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ
4 Na shari ya wanao pulizia mafundoni, وَمِن شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِي الْعُقَدِ
5 Na shari ya hasidi anapo husudu. وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ
;