Al-Nas

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ
2 Mfalme wa wanaadamu, مَلِكِ النَّاسِ
3 Mungu wa wanaadamu, إِلَهِ النَّاسِ
4 Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ
5 Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ
6 Kutokana na majini na wanaadamu. مِنَ الْجِنَّةِ وَ النَّاسِ
;