Al-Ikhlas

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
2 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. اللَّهُ الصَّمَدُ
3 Hakuzaa wala hakuzaliwa. لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
4 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ
;