Al-Lahab

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ
2 Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. مَا أَغْنَى عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ
3 Atauingia Moto wenye mwako. سَيَصْلَى نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ
4 Na mkewe, mchukuzi wa kuni, وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ
5 Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ
;