An-Nasr

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, إِذَا جَاء نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ
2 Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا
3 Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا
;