Al-Fil

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَابِ الْفِيلِ
2 Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِي تَضْلِيلٍ
3 Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ
4 Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ
5 Akawafanya kama majani yaliyo liwa! فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍ
;