Quraish

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Kwa walivyo zoea Maqureshi, لِإِيلَافِ قُرَيْشٍ
2 Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. إِيلَافِهِمْ رِحْلَةَ الشِّتَاء وَالصَّيْفِ
3 Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, فَلْيَعْبُدُوا رَبَّ هَذَا الْبَيْتِ
4 Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. الَّذِي أَطْعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَآمَنَهُم مِّنْ خَوْفٍ
;