Al-Qadr

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu. إِنَّا أَنزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةِ الْقَدْرِ
2 Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri? وَمَا أَدْرَاكَ مَا لَيْلَةُ الْقَدْرِ
3 Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu. لَيْلَةُ الْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ
4 Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo. تَنَزَّلُ الْمَلَائِكَةُ وَالرُّوحُ فِيهَا بِإِذْنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمْرٍ
5 Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. سَلَامٌ هِيَ حَتَّى مَطْلَعِ الْفَجْرِ
;