Al-Kauthar

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 Hakika tumekupa kheri nyingi. إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ
2 Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ
3 Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ
;