Al-Fatihah

Change Language
Change Surah
Change Recitation

Swahili: Ali Muhsin Al-Barwani

Play All
# Translation Ayah
1 KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. بِسْمِ اللهِ الرَّحْمنِ الرَّحِيمِ
2 Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; الْحَمْدُ للّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
3 Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; الرَّحْمـنِ الرَّحِيمِ
4 Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
5 Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. إِيَّاكَ نَعْبُدُ وإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
6 Tuongoe njia iliyo nyooka, اهدِنَــــا الصِّرَاطَ المُستَقِيمَ
7 Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. صِرَاطَ الَّذِينَ أَنعَمتَ عَلَيهِمْ غَيرِ المَغضُوبِ عَلَيهِمْ وَلاَ الضَّالِّينَ
;